\v=11 \v~=kwa hiyo hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, nitakutenda kwa kadiri ya hasira na wivu uliouonyesha katika chuki yako juu yao nami nitafanya nijulikane miongoni mwao wakati nitakapokuhukumu. \¬v