\v=12 \v~=Ndipo utakapojua kuwa Mimi \nd Bwana\nd* nimesikia mambo yote ya dharau uliyosema dhidi ya milima ya Israeli. Ulisema, “Wamefanyika ukiwa na kutiwa mikononi mwetu tuwararue.” \¬v