\v=3 \v~=na useme: ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, ee mlima Seiri, nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika. \¬v