\v=6 \v~=kwa hiyo hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, nitakutia katika umwagaji damu nao utakufuatia. Kwa kuwa hakuchukia kumwaga damu, kumwaga damu kutakufuatia. \¬v