\v=20 \v~=Tena popote walipokwenda miongoni mwa mataifa walilitia unajisi Jina langu takatifu, kwa kuwa watu walisema kuwahusu, ‘Hawa ndio watu wa \nd Bwana\nd*, lakini imewapasa kuondoka katika nchi yake.’ \¬v