\p \v=22 \v~=“Kwa hiyo iambie nyumba ya Israeli, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Si kwa ajili yako, ee nyumba ya Israeli, kwamba ninafanya mambo haya, bali ni kwa ajili ya Jina langu takatifu, ambalo mmelitia unajisi miongoni mwa mataifa mliyoyaendea. \¬v