\v=3 \v~=Kwa hiyo tabiri na useme, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa sababu wamewafanya ukiwa na kuwagandamiza kila upande ili mpate kuwa milki ya mataifa mengine na kuwa kitu cha kusimangwa na kudhihakiwa miongoni mwa watu, \¬v