\v=32 \v~=Ninataka ninyi mjue kwamba sifanyi hili kwa ajili yenu, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. Oneni aibu na mkatahayari kwa ajili ya mwenendo wenu, ee nyumba ya Israeli! \¬v \¬p