\p \v=33 \v~=“ ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Siku ile nitakapowasafisha kutoka dhambi zenu zote, nitarudisha watu waishi katika miji yenu na magofu yatajengwa upya. \¬v