\v=4 \v~=kwa hiyo, ee milima ya Israeli, sikieni neno la \nd Bwana\nd* Mwenyezi: Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo kwa milima na vilima, kwa makorongo na mabonde, kwa mahame yaliyo ukiwa, miji iliyoachwa ambayo imetekwa nyara na kudharauliwa na mataifa mengine yanayowazunguka, \¬v