\v=12 \v~=Hivyo watabirie na uwaambie: ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwatoa ndani yake, nami nitawarudisha tena katika nchi ya Israeli. \¬v