\v=14 \v~=Nitatia Roho yangu ndani yenu nanyi mtaishi, nami nitawakalisha katika nchi yenu wenyewe. Ndipo mtakapojua kwamba Mimi \nd Bwana\nd* nimenena, nami nitalitenda, asema \nd Bwana\nd*!’ ” \¬v \¬p