\v=21 \v~=kisha waambie, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nitawatoa Waisraeli katika mataifa walikokuwa wamekwenda. Nitawakusanya popote walipo na kuwarudisha katika nchi yao wenyewe. \¬v