\p \v=10 \v~=“ ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Katika siku ile mawazo yataingia moyoni mwako nawe utapanga mipango mibaya. \¬v