\v=18 \v~=Hili ndilo litakalotokea katika siku ile: Gogu atakaposhambulia nchi ya Israeli, hasira yangu kali itaamka, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v