\v=21 \v~=Nitaita upanga vita dhidi ya Gogu juu ya milima yangu yote, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. Upanga wa kila mtu utakuwa dhidi ya ndugu yake. \¬v