\p \v=25 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Sasa nitamrudisha Yakobo kutoka utumwani, nami nitawahurumia watu wote wa Israeli, nami nitakuwa na wivu kwa ajili ya Jina langu takatifu. \¬v