\v=28 \v~=Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, Mungu wao, ingawa niliwapeleka uhamishoni miongoni mwa mataifa, nitawakusanya tena katika nchi yao wenyewe, bila kumwacha yeyote nyuma. \¬v