\p \v=7 \v~=“ ‘Nitalifanya Jina langu takatifu lijulikane miongoni mwa watu wangu Israeli. Sitaliacha tena Jina langu takatifu litiwe unajisi, nayo mataifa watajua kuwa Mimi \nd Bwana\nd* ndimi Aliye Mtakatifu wa Israeli. \¬v