\p \v=12 \v~=Ndipo Roho akaniinua, nikasikia sauti kubwa nyuma yangu ya ngurumo. (Utukufu wa \nd Bwana\nd* na utukuzwe katika mahali pa makao yake!) \¬v