\v=14 \v~=Ndipo Roho aliponiinua na kunipeleka mbali. Nikaenda nikiwa na uchungu na hasira moyoni mwangu, nao mkono wa \nd Bwana\nd* ukiwa juu yangu. \¬v