\p \v=22 \v~=Mkono wa \nd Bwana\nd* ulikuwa juu yangu huko, naye akaniambia, “Simama uende mpaka sehemu tambarare, nami nitasema nawe huko.” \¬v