\v=23 \v~=Kwa hiyo niliinuka nikaenda mpaka mahali pa tambarare. Utukufu wa \nd Bwana\nd* ulikuwa umesimama huko, kama utukufu ule niliouona kando ya Mto Kebari, nami nikaanguka kifudifudi. \¬v \¬p