\v=27 \v~=Lakini nitakaposema nawe, nitafungua kinywa chako nawe utawaambia, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo.’ Yeyote atakayesikiliza na asikilize, na yeyote atakayekataa na akatae; kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi. \¬v \¬p \¬c