\v=12 \v~=Mbele ya kila chumba cha kupumzikia kulikuwepo ukuta uliokuwa na kimo cha dhiraa moja\f + \fr 40:12 \ft Dhiraa 1 ni sawa na sentimita 45.\f* kwenda juu, navyo hivyo vyumba vilikuwa dhiraa sita mraba. \¬v