\v=14 \v~=Akapima pia ukumbi, urefu wa dhiraa ishirini\f + \fr 40:14 \ft Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.\f* na lango linalofuatia hiyo nguzo kila upande wa huo ukumbi. \¬v