\v=19 \v~=Kisha akapima umbali kutoka ndani ya lango la chini mpaka nje ya ukumbi wa ndani, nao ulikuwa dhiraa mia moja\f + \fr 40:19 \ft Dhiraa 100 ni sawa na mita 45.\f* upande wa mashariki na dhiraa mia moja upande wa kaskazini. \¬v \¬p