\v=43 \v~=Kulikuwa na kulabu, urefu wake nyanda nne,\f + \fr 40:43 \ft Nyanda 4 ni sawa na sentimita 8.\f* zilikuwa zimeshikizwa ukutani pande zote. Meza zilikuwa kwa ajili ya nyama za sadaka. \¬v \¬p