\v=46 \v~=nacho chumba kinachoelekea upande wa kaskazini ni kwa ajili ya makuhani wenye usimamizi wa madhabahuni. Hawa ni wana wa Sadoki, ambao ndio Walawi pekee wanaoweza kumkaribia \nd Bwana\nd* ili kuhudumu mbele zake.” \¬v \¬p