\v=49 \v~=Baraza ilikuwa na dhiraa ishirini kwenda juu na dhiraa kumi na mbili\f + \fr 40:49 \ft Dhiraa 12 ni sawa na mita 5.4.\f* kuanzia mbele hadi nyuma. Kulikuwa na ngazi kumi za kupandia huko, pia kulikuwa na nguzo kwa kila upande wa miimo. \¬v \¬p \¬c