\v=9 \v~=ambayo ilikuwa na kina cha dhiraa nane\f + \fr 40:9 \ft Dhiraa 8 ni sawa na mita 3.6.\f* na miimo yake ilikuwa na unene wa dhiraa mbili.\f + \fr 40:9 \ft Dhiraa 2 ni sawa na sentimita 90.\f* Baraza ya lango ilielekea Hekalu. \¬v \¬p