\p \c#=41 \v=1 \v~=Kisha yule mtu akanileta katika sehemu ya nje ya patakatifu, naye akaipima miimo; upana wake ulikuwa dhiraa sita\f + \fr 41:1 \ft Dhiraa 6 ni sawa na mita 2.7.\f* kila upande. \¬v