\p \v=12 \v~=Jengo lililoelekeana na ua wa Hekalu upande wa magharibi lilikuwa na upana wa dhiraa sabini. Ukuta wa jengo hilo ulikuwa na unene wa dhiraa tano, kulizunguka lote, urefu ulikuwa wa dhiraa tisini.\f + \fr 41:12 \ft Dhiraa 90 ni sawa na mita 40.5.\f* \¬v \¬p