\v=2 \v~=Ingilio lilikuwa la upana wa dhiraa kumi na kuta zilizojitokeza kila upande zilikuwa na upana wa dhiraa tano. Pia akapima sehemu ya nje ya patakatifu, nayo ilikuwa na urefu wa dhiraa arobaini\f + \fr 41:2 \ft Dhiraa 40 ni sawa na mita 18.\f* na upana wa dhiraa ishirini. \¬v \¬p