\p \v=3 \v~=Kisha akaingia sehemu takatifu ndani ya Hekalu na kupima miimo ya ingilio, kila mmoja ulikuwa na upana wa dhiraa mbili. Ingilio lilikuwa na upana wa dhiraa sita, na kuta zilizotokeza kila upande zilikuwa na upana wa dhiraa saba.\f + \fr 41:3 \ft Dhiraa 7 ni sawa na mita 3.15.\f* \¬v