\v=5 \v~=Basi vyumba vya juu vilikuwa vyembamba zaidi, kwa kuwa ujia\f + \fr 42:5 \fq Ujia \ft ina maana ya njia ndani ya nyumba.\f* ulichukua nafasi zaidi ndani yake kuliko katika vyumba vya sakafu ya chini na vya katikati ya jengo. \¬v