\v=16 \v~=Pale pawashwapo moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili\f + \fr 43:16 \ft Dhiraa 12 ni sawa na mita 5.4.\f* na upana wa dhiraa kumi na mbili. \¬v