\p \v=18 \v~=Kisha akaniambia, “Mwanadamu, hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Haya ndiyo yatakayokuwa masharti ya kutoa dhabihu za kuteketezwa na kunyunyiza damu juu ya madhabahu itakapokuwa imejengwa. \¬v