\v=24 \v~=Utawatoa mbele za \nd Bwana\nd*, nao makuhani watanyunyizia chumvi juu yao na kuwatoa kuwa sadaka ya kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p