\v=27 \v~=Mwishoni mwa hizi siku saba, kuanzia siku ya nane na kuendelea, itawapasa makuhani kutoa sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka za amani juu ya madhabahu. Kisha nitawakubali ninyi, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.” \¬v \¬p \¬c