\v=2 \v~=\nd Bwana\nd* akaniambia, “Lango hili litabaki limefungwa. Haliruhusiwi kufunguliwa, wala hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kuingilia kwenye lango hili. Litabaki limefungwa kwa sababu \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, ameingia kwa kupitia lango hili. \¬v