\v=29 \v~=Wao watakula sadaka za nafaka, sadaka za dhambi na sadaka za hatia na kila kitu kitakachotolewa kwa \nd Bwana\nd* katika Israeli kitakuwa chao. \¬v