\v=3 \v~=Yeye aliye mkuu peke yake ndiye anayeweza kukaa penye njia ya hilo lango na kula chakula mbele za \nd Bwana\nd*. Itampasa aingie kwa njia hiyo ya lango la ukumbini na kutokea njia iyo hiyo.” \¬v \¬p