\p \v=4 \v~=Kisha yule mtu akanileta kwa njia ya lango la kaskazini mpaka mbele ya Hekalu. Nikatazama nami nikauona utukufu wa \nd Bwana\nd* ukilijaza Hekalu la \nd Bwana\nd*, nami nikaanguka kifudifudi. \¬v \¬p