\v=10 \v~=Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa\f + \fr 45:10 \ft Efa ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vikavu ambacho ni sawa na omeri 10; efa 1 ni sawa na kilo 22.\f* na bathi.\f + \fr 45:10 \ft Bathi ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vya humiminika ambacho ni sawa na 1/10 ya homeri; homeri 1 ni bathi 10 au efa 10.\f* \¬v