\v=12 \v~=Shekeli moja itakuwa gera ishirini.\f + \fr 45:12 \ft Gera 20 ni sawa na shekeli 1.\f* Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.\f + \fr 45:12 \ft Mina 1 hapa ni sawa na shekeli 60; mina ya kawaida ilikuwa sawa na shekeli 50.\f* \¬v \¬p