\v=14 \v~=Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja\f + \fr 45:14 \ft Kori 1 ni sawa na bathi 10 au homeri 1.\f* (ambayo ina bathi kumi au homeri moja.) \¬v