\p \v=18 \v~=“ ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Katika mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya huo mwezi utamchukua fahali mchanga asiye na dosari na kutakasa mahali patakatifu. \¬v