\v=23 \v~=Kila siku wakati wa hizo siku saba za sikukuu atatoa mafahali saba na kondoo dume saba wasio na dosari kuwa sadaka ya kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd* na beberu kwa ajili ya sadaka ya dhambi. \¬v