\v=24 \v~=Pia atatoa sadaka ya nafaka efa moja kwa kila fahali na efa moja kwa kila kondoo dume, pamoja na hini moja\f + \fr 45:24 \ft Hini ni kipimo cha kupimia vitu vya humiminika chenye ujazo wa 1/6 ya bathi, na ni sawa na lita 4.\f* ya mafuta kwa kila efa. \¬v \¬p